Hongera dada Pilly Mgori kutoka jijini Mwanza kwa kujifungua salama siku ya jumamosi na kutuletea Baby Girl.
G.Sengo anasema kama ilivyoada kwa waafrika na tamaduni zetu yeye na swahiba wangu Humphrey Simon walidhuru hospitali ya Mwananchi, Mwanza kumjulia hali, Alhamdulilah mambo yalikuwa swafi.
Ukitaka kusoma zaidi na kujua kinachojili katika jiji la mwanza tembelea www.gsengo.blogspot.com
G.Sengo ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm jijini Mwanza akipata baraka kutoka kwa mtoto wa dada Pilly.
Toa Maoni Yako:
0 comments: