Mkuu wa wilaya ya Urambo Anna Magowa akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa madarasa mawili yaliyojengwa kwa ajili ya shule ya sekondari ya Kaliua iliyopo Wilaya ya urambo Mkoani Tabora, anaeshudia ni Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule, Madarasa hayo yalijengwa kwa thamani ya shilingi milioni 30.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya secondary ya Kaliua iliyopo Wilaya ya urambo Mkoani Tabora wakiwa wamekaa darasani mara baada ya Meneja wa Vodacom Foundation kuwakabidhi rasmi madarasa hayo yaliyojengwa na kampuni hiyo kwa thamni ya shilingi milioni 30

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: