Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUZA akipokea vifungu vya Sheria vinavyomuwezesha kuwa Mkuu wa chuo kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar,SUZA Mzee Hassan Nasoro Moyo jana,baada ya kutawazwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar,(SUZA) jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk Ali Mohamed Shein, akivalishwa joho ,kuwa MKuu wa Chuo na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, SUZA,Dk Abdullwa Ismail Kandoro,wakati wa sherehe maalum iliyofanyika jana katika viwanja wa Chuo hicho , Majestik Mjini Unguja.
Baadhi ya Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA ,wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Kutawazwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kuwa Mkuu wa Chuo Hicho zilizofanyika jana katika viwanja vya chuo hicho Majestik Mjini Unguja.

PIcha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: