Hii ilikuwa ni katika party ya Club E iliyofayika mjini Arusha ndani ya hoteli ya Naura Springs.

Ama hakika ulikuwa usiku murua kabisa kwa wanachama wa Club E na wageni waalikwa wengine, kwani Tshalla alionesha umahiri mkubwa wa kuimba na cheza na pia kuwaonesha kuwa bado yuko fiti.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: