Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliyofanyika huko Kaboya mkoani Kagera Jumamosi hii.Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika mnara wa mashuja. Hii ilikuwa ni katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliyofanyika huko Kaboya mkoani Kagera Jumamosi hii.



Toa Maoni Yako:
0 comments: