
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, George Mkuchika, Waziri wa Kazi Ajira Wanawae Maendeleo ya Wanawake na Watoto, Asha Abdalla Juma, Katibu Mkuu CCM Taifa Rajab Yussuf Makamba na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi, wakibadilishana mawazo nje ya Jengo la ofisi kuu ya CM Kisiwandui.

Miongoni mwa wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa walihudhuria katika semina ya wajumbe hao na wajumbe wa baraza la Wawakilishi iliyofanyikam jana ukumbi wa CCM Kisiwandui,(kushoto)John Chiligati,CCM Bara,Kidawa Khamis CCM Zanzibar,Naibu Katibu Mkuu Bara George mkuchika na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, akifungua semina ya siku moja kwa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, katika Ukumbi wa CCM Kisiwandui jana, (kushoto) Mwemyekiti Mstaafu wa CCM Ali Hassan Mwinyi na Katibu Mkuu wa Chama hicho Rajab Yussuf Makamba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Mwenyekiti wa Mashirikiano ya Afrika na Japan, pia Mbunge wa jimbo katika Bunge la Japan, Tetsuro Yano, akiongoza ujumbe wa watu 4, walipokutana na rais huko Ikulu Mjini Zanzibar, jana.
PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments: