Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa tarafa ya Maramba, katika wilaya mpya ya Mkinga, mkoani Tanga... Picha kwa hisani ya Freddy Maro wa Ikulu, Dar es Salaam.
Umati Mkubwa wa wananchi wa Tarafa ya Maramba wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete(Kwenye gari katikati)wakati aliposimama na kuongea nao.
Umati Mkubwa wa wananchi wa Tarafa ya Maramba wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete(Kwenye gari katikati)wakati aliposimama na kuongea nao.

Toa Maoni Yako:
0 comments: