Akizungumzia kwa ufupi kuhusu wimbo wake huo Maru alisema kuwa kwa sasa amamshukuru Mungu kwa muitikio wa watu kupokea kwa mikono miwili wimbo huo aliotoa japo bado haujafanya vema kwenye stesheni za redio.
"Naamini kwa vile ni mwanzo lakini najua nao utakubalika kama nilivyotoa wimbo wangu wa Ukweli," alisema.


Toa Maoni Yako:
0 comments: