Muimbaji wa nyimbo za Injili Patric Kapiga wa jijini Dar-es-salaam ametoka na album yake ya kwanza SEMA NAMI ambapo aliizindua katika ukumbi wa Msimbazi Center hivi karibuni.

Kapinga ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa Sound Vision and Soul anasema Kampuni yake inasaidia kuinua vipaji vya waimbaji wadogo na kuandaa matamasha mbalimbali ya nyimbo za injili. Kapiga pia ni mdogo wake na mtangazaji maarufu wa Praise Power Radio Harris Kapiga “mzee wa Nyota njema”.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: