Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea.

Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.Sera ya Ajira

Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi? Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).Kwa ufafanuzi tembelea.
http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: