Hapa ndipo studio za TBC-1 studio zilipo ambapo zamani palikuwa panaitwa TvT.
Rais JK akiongozwa na Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando wakati akitoka kukagua majengo ya TBC.
Mafundi mitambo wa TBC-1 ambayo zamani ilikuwa ikiitwa TVT wakifuatilia matangazo waliyokuwa wakirusha live. Wa pili kutoka kushoto, Elisha Elia mtangazaji wa TBC-1 aliyekuwa akiongoza matangazo hayo ya live siku hiyo.
Mafundi mitambo wa TBC- pamoja na watangazaji nao hawakuwa nyuma kurusha live matangazo yao.
Mmoja ya waandishi waandamizi wa TBC akiwajibika.
Chumba cha habari cha TBC.
Msondo ngoma wakiongozwa na Muhidin Gurumo nao walikuwepo. Kikundi cha ngoma za asili kijulikanacho kwa jina la Sisi Tambala hakikuwa nyuma katika kutoa burudani siku hiyo ya uzinduzi wa TBC.
Bwilo Kitujime (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na viongozi wenzake wa TBC.
Shekh Omari Musa mmoja wa viongozi TBC akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mohammed Seif Khatibu.
Wafanyakazi wa TBC, Jovitha(Kulia) na Amina.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo mhe. Joel Bendera akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo mhe. Mwantumu Mhizza katika sherehe hizo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. KWELI HAO WADADA WAMEPENDEZA SANA, HAO ULIOWATAJA JOVITHA NA AMINA

    ReplyDelete