
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimpongeza Sued Mwinyi ambaye alitangazwa kuwa mtangazaji bora wa Habari za Michezo wa Radio ya Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) katika hafla ya uzinduzi wa Shirika hilo ilizofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimpongeza Juma Nkamia baada ya kutangazwa kuwa msomaji habari bora wa Radio ya Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) katika hafala ya uzinduzi wa Shirika hilo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Katika ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Tido Mhando.
Toa Maoni Yako:
0 comments: