Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Pwani Suleiman Amri (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Ramadhan Kalafya (kushoto) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.
Msimamizi wa mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Neema Lucas (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya John John (kushoto) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.
Msimamizi mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Nakiete Mshana (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Beatrice Msofero (katikati) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.
Msimamizi wa mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Mishi Bakari (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye pikipiki ya Daud Neto(katikati) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: