Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire akishea matunda na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi wetu wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Agapinus Tax akishea matunda na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’ huku akishuhudiwa na Mkuu wa Ununuzi, Utawala na Usimamizi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Grace Chambua (kulia). Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma kwa Wateja, Bi. Harriet Lwakatare (katikati) wakizungumza na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire akiwagawia keki wateja na watoa huduma waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) akifurahia kinywaji na mmoja wa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) akikabidhi za zawadi kwa mmoja kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Harriet Lwakatare (kulia) akikabidhi za zawadi kwa mmoja kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkuu wa Ununuzi, Utawala na Usimamizi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Grace Chambua (kulia) akikabidhi za zawadi kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi wetu wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Agapinus Tax (kushoto) akikabidhi za zawadi kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kulia) akipatiwa maelezo kutoka kwa mhudumu wa duka la kampuni hiyo kuhusu huduma na bidhaa zinazotolewa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Toa Maoni Yako:
0 comments: