Muonekano wa Barabara ya New Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge yenye urefu wa kilometa 4.3 iliyojengwa kwa njia nne kwa ufadhili wa Serikali ya Japani kama inavyoonekana pichani mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: