Rais na Muasisi wa TWA Irene Kiwia akizungumza kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na taasisi ya TWA leo jijini Dar es Salaam.
Mtoa mada, Anna Chonjo Mariki kutoka Rex & Regina Attorneys akifafanua jambo kwa watoa mada wenzake kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam.
Mama Zakia Meghji akizungumza jambo kwa wageni waalikwa.
Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment akizungumza kwa wageni waalikwa.
Muongoza mjadala wa kongamano la TWA Lulu Ng’wanakilala (kulia) akielezea jambo kwa wazungumzaji wa la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam , wanaofuata kutoka kulia ni Rebecca Gyumi, Mama Zakia Meghji, Irene Kiwia, Scholastica Kimaro na Mary Rusumbi.
Mshindi wa Tuzo za jumla za TWAA(Woman of Year 2018), Sister Flora Ndwata akipokea Tuzo toka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark Tanzania, John Ulanga kwenye hafla iliyofanyika leo Serena Hotel, Dar Es Salaam.
Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment (katikati)akimkabidhi Irene Kiwia kitabu alichozindua cha “ Equal But Different” wanaoshudia Jacquiline Maleko, Zakia Meghji na Sadaka Gandi.
Dkt. Hawa Kawawa (kulia)kwa niaba ya marehemu mama yake Sophia Kawawa akipokea Tuzo ya Maisha (Life Time Achievement) toka kwa Mwenyekiti wa TWA, Sadaka Gandi.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini utoaji wa Tuzo.
Washindi wote wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: