Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano
ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa
Dodoma Machi 8, 2017
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa
kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa
Dodoma Machi 8, 2017.
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA).
Toa Maoni Yako:
0 comments: