Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017
m3: Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitakiana amani na watawa wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na waumini baada ya misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017

PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: