Washindi wa shindano la video bora lililoendeshwa na kampuni ya simu
za mkononi ya Airtel lijulikanalo kama “jicho la kitaa” Bwana Elisha
Ezakiel Lango na Frank Sylvester Machiya wakiwa nchini Singapore
kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya video bora
lililoshirikisha nchi mbalimbali duniani.
Home
HABARI ZA BIASHARA
AIRTEL YAWAWEZESHA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA VIDEO BORA NCHINI SINGAPORE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: