Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dr Ayub Rioba akimuelezea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jinsi TBC ilivyo guswa na janga la tetemeko lililo tokea mkoani kagera ambalo lilipoteza maisha ya watu na miundo mbinu katika mkoa huo.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni 41.5 kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa tbc Dr Ayub Rioba kwa ajili ya kuwasaidia waathirka wa tetemeko la aridhi mkoani Kagera( L) Kaimu mkurugenzi wa habari na matukia tbc Martha Swai na kulia ni Meneja mawasiliano tbc Edna Rajabu
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Rioba kwa shirika lake kuendesha shughuli ya kutafuta fedha kwa wadau mbalimbali kufanikisha kupatikana kwa fedha zakusaidia wahanga wa tetemeko.
Picha ya Pamoja. Picha na Chris Mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: