Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, (WALA), Daniel F.Kigeda alipowasili kufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki ambalo kwa mara ya kwanza ,limeketi visiwani Zanzibar, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,(katikati) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir ali Maulid Oktoba 11, 2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, kutoka Tanzania, Bi. Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja. Oktoba 11, 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda wakati alipofika kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wabunge mbali mbali wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: