Kiongozi wa msafara wa wanamazingira waliotembea kwa miguu wakiokota taka za plastiki pembezoni mwa barabara kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro na kuja jijini Dar es Salaam, Felix Garbe (kushoto) akimkabidhi ufagio Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ubungo Kibo Dar es Salaam, Sophia Yusuf ikiwa ni ishara ya kuhamasisha wakazi wa Dar es salaam kuchukua jukumu la kutunza mazingira. Tukio hilo lilifanyika baada ya wanamazingira hao kuwasili jijini Dar baada ya safari iliyowachukua muda wa wiki tano kumalizika. (Picha: Hisani ya Nipe Fagio).
Home
Unlabelled
WANAHARAKATI WA MAZINGIRA WATEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOSHI - DAR KUHAMASISHA WAKAZI WA JIJI LA DAR KUTUNZA MAZINGIRA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: