Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF Louis Accaro (kulia)
akibadilishana mawazo na mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce ,
Industry and Agriculture (TCCIA)wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa
toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13
mwaka huu katika ukumbi a Diamond Jubilee.
Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF Louis Accaro akiongea wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa
toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13
mwaka huu katika ukumbi a Diamond Jubilee.
Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF Louis Accaro (katikati)
akibadilishana mawazo na mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce ,
Industry and Agriculture (TCCIA)wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa
toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13
mwaka huu katika ukumbi a Diamond Jubilee.
Toa Maoni Yako:
0 comments: