Mbunge wa viti maalumu, Lucy Owenya (Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini ,Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo. |
|
| Eneo lililobomolewa ili kuruhusu maji ya mafuriko kupita. |
| Mbunge Lucy Owenya akitizama namna ambavyobaadhi ya wananchi walivyoamua kuokoa vitu ya kwa kuianika juu yapaa. |
| Kutokana na hali hiyo Mbunge Lucy Owenya alilazimika kutoa msaada wa chakula kwa waathirika wa mafuriko hayo. |
| Mbunge Lucy Owenya akimfariji mmoja ya waathirika wa mafuriko hayo aliyekuwa akilia kwa uchungu baada ya kupoteza vitu vyake mbali,mbali ikiwemo vyeti vya taaluma ya utabibu. |
| Mbunge Lucy Owenya akikabidhi msaada wa chakula kwa wananchi walioathirika na mafuriko hayo. |
| Mbunge Lucy Owenya akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo. |
| Diwani wa kata ya Arusha Chini Rojas Mmari akizungumza jambo mara baada ya wananchi wake kukabidhiwa msaada huo. |
| Afisa mtendaji Utawala wa kiwanda cha sukari cha TPC ,Jafary Ally akizungumza kuhusu namna mafuriko hayo yalivyo athiri kiwanda hicho. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini |


Toa Maoni Yako:
0 comments: