Katibu wa  UVCCM Taifa  Bw Sixtus  Mapunda  mwenye  kofia ya ccm  akishiriki   mchezo wa   kimasai  leo  wakati  wa uzinduzi  wa tawi la  CCM eneo  la  wafugaji kijiji  cha  Idodi 

mjumbe  wa  baraza  kuu la  utekelezaji  la UVCCM Taifa  Secky Kasuga kulia akishiriki na  viongozi  wa  kitaifa  kucheza ngoma ya  kimasai
viongozi  wa  kitaifa  wa UVCCM Taifa  wakishiriki kucheza na masai
Wananchi  wakiwa  juu ya  miti  wakimsikiliza katibu  mkuu wa UVCCM taifa  leo kijiji cha Idodi
wananchi  wa  Idodi  wakiwa katika mkutano wa katibu  wa UVCCM Taifa
katibu  wa UVCCM taifa  kulia akimpongeza kada wa CCM
Masai  wakiwa cheza  ngoma
katibu  mkuu  wa  UVCCM Taifa Sixtus Mapunda  akisimikwa  kwa  mlezi  wa tawi la Uvccm kulia ni Bi Secky Kasuga
Mkuu  wa  shule ya  sekondari  Idodi  akitoa taarifa ya kuungua kwa mabweni ya  wanafunzi 
diwani  wa Idodi  Bw  Onesmo Mtatifikolo akijibu maswali ya  wananchi  leo
katibu mkuu UVCCM akiongoza wanachama wapya wa CCM kula kiapo.
---
Na matukiodaimaBlog

KATIBU mkuu wa jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Bw Sixtus Mapunda amempongeza mbunge wa jimbo la Isimani Bw Wiliam Lukuvi kwa kuwa mbunge wa mfano katika jimbo lake na kuwa waziri wa mfano katika baraza la mawaziri kutokana na utendaji kazi wake mzuri unaorejesha heshima ya CCM kwa wananchi hasa katika kumaliza kero ya ardhi hapa nchini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: