Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kolo katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mela-Bonga.
Mwandisi Mkazi katika mradi wa Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela, Eng. Emeterio Onias wapili kutoka kulia akimpa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa Barabara hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akiwa na baadhi ya wahandisi akikagua Makalavati katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela
Ujenzi ukiendelea katika daraja la Kolo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe katikati akitoa maelekezo kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Dodoma-Mayamaya.
Ujenzi wa barabara ya Mela-Bonga ukiendelea kwa kasi.Picha na Maelezo kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Ujenzi


Toa Maoni Yako:
0 comments: