Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman,Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mh. Omar Othman Makungu wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.

Sehemu ya Majaji.
Sehemu ya Majaji wastaafu wakishiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliohudhulia.
 Baadhi ya viongozi wa dini kutoka madhehebu mbali mbali wakitoa baraka zao katika maadhimisho hayo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji George Masaju akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Meza kuu.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman. 
Rais wa Chama cha Chama cha Mawakili, Mh. Charles Rwechungura akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: