Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya taifa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili kulia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na wawatu kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kusimama kwa dakika chache kumkumbuka mjumbe wa baraza la wawakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mjumbe wa kamati hiyo leo wakati wa kuanza kikao cha kamati hiyo ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: