Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.
Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho kinamilikiwa na kanisa la KKKT. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: