Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushagama ‘Mez B’ amefariki dunia leo mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa mahojiano na mama yake mzazi, amesema mwanae alikuwa akiumwa kwa muda mrefu.
Habari zaidi zitawajia... Endelea kusoma blog yako kwa habari za uhakikina na upembuzi yakinifu.
Kajunason Blog inawapa pole wafiwa wote, Mungu ailaze roko ya marehemu mahali pema peponi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: