Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga.
 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua barabara hiyo ya Msoga-Msolwa jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli na Mbunge wa Chalinze kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Barabara ya Msoga- msolwa wakati wa hafla ya uszinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akiwa na Kamera akijaribu kurekodi sehemu ya matukio katika hafla hiyo.


Picha za pamoja za kumbukumbu...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: