Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa 10.35hrs askari no.G.4228PC. ALOYCE ambaye alikuwa dereva wa OCD-MANYONI alifika kwa armoury keeper na kumuomba amkabidhi silaha kwani anasafari na OCD, alikabidhiwa silaha aina ya SAR NO. 10065077 ikiwa na risasi kumi.
Aliondoka na silaha hiyo na kuingia ndani kwake ambapo ni karibu sana na Armoury na kuingia ndani ambapo aliingiza mtutu wa silaha hiyo mdomoni na kujipiga risasi huku akiwa amelala kitandani na kufariki hapo hapo.
Marehemu ameacha ujumbe kuwa ameamua kujiua mwenyewe kwa ridhaa yake na asilaimiwe mtu yeyote kuhusiana na kifo chake.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa mortuary manyoni gvt hospital kwa ajili ya uchunguzi. Pia katika ujumbe wake amedai mwili wake upelekwe kwao na S/SGT.MARWA NA SGT.MTAKI wa Polisi Singida.
Toa Maoni Yako:
0 comments: