Moto umeunguza nyumba za watu eneo la Ngulelo, Arusha asubuhi ya Leo majira ya saa 12. Chanzo bado hakijajulikana. Asante sana mdau wa Kajunason Jerry Shauri toka Arusha.

Habari kamili zitawajia baadae.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: