1. Upendo wa dhati kwa mme wake au mpenzi wake.
2. Kulinda heshima yake kwa ndugu na jamaa-kama ameolewa.
3. Kuogopa kupoteza fursa aliyonayo kutoka kwa mme au mpenzi wake.
4. Hasira ya kutongozwa na mtu kipanga sana au kiwembe mwenye sifa mbaya kwa jamii.
5. Tofauti za madaraja kimaisha (Rank).
6. Fikra kwamba mwanaume ana wanawake wengi.
7. Uoga kwamba mwanaume siyo msiri-kwa wake za watu na wachumba.
8. Uoga kwamba mwanaume hatakuwa mwaminifu katika uhusiano.
9. Uoga kwamba mwanaume ni mtu wa matangazo na majigambo.
10. Uoga kwamba mwanaume ana mhogo wa jang’ombe-kwa wale waliojaliwa ndogo.
11. Uoga kwamba mwanaume ni mjanja mjanja.
12. Kama mwanaume alishakuwa rafiki yake wa kawaida kwa muda mrefu.
13. Kutozipenda tabia mbaya na chafu za mwanaume.
14. Kuchukizwa na mwaname kulazimisha mapenzi.
15. Kwa wanawake wenye waliojaliwa huogopa kwamba mwanaume anaweza kuwa na kibamia.
16. Kuogopa kwamba mwanaume anaweza kupatwa na majanga kwa kujihusisha naye kimapenzi-kwa wake za watu na wachumba.
17. Kuogopa madhaifu yake mwenyewe.
18. Kuogopa kufumaniwa-kama ni mme au mchumba wa mtu.
19. Kukerwa na mvi au umbo baya la mwanaume.
20. Uoga kwamba anaweza kuwa ametumwa na mme au mchumba wake kumjaribu uaminifu wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments: