Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiendelea kuwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda. 
Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Mshauri wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka UNFPA Tanzania Dkt. Collins Opiyo (aliyeinama) akiteta jambo na Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius Ruyobya (katikati) na Meneja Rasilimali watu Gabriel Madembwe wote kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Wahadhiri Dkt. Tumaini Katunzi (Kushoto) na Dkt. Frank Mkumbo kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.

(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: