Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais Hayati Dr. Omar Ali Juma aliyefariki mwaka 2001 katika kijiji cha cha Wawi Mchekeni wilaya ya Chakechako mkoa wa Kusini Pemba leo, katikati ni MNEC wa wilaya ya Chakechake Bw. Daud Ismail.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakiomba dua wakati Katibu Mkuu huyo na msafara wake walipozuru kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais Hayati Dr. Omar Ali Juma.
 Baadhi ya viongozi wanawake nao wakijumuika kuomba dua.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinywa kahawa na baadhi ya viongozi kutoka kulia ni Balozi Ali Karume mjumbe wa halmashari kuu ya Taifa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  na Mzee Ali Abdalla Ali. Picha na John Bukuku.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: