Siku moja Mlemavu wa kuona  (Kipofu) aliingia katika mgahawa (restaurant) na baada ya kukaa mezani, baba mmiliki wa mgahawa huo alimfuata na kumuuliza, "nikupe chakula gani au nilete menu uchague mwenyewe?"

Yule kipofu akajibu, "mimi sioni, ila lete kijiko alichotumia mteja wa mwisho alafu nitaagiza kile alichokula"

Yule baba alipoleta kijiko kichafu, kipofu akakinusa na kusema, "aaah... wali wa nazi na njegere, nipe."

Siku ya pili; kipofu akaja tena na yule yule baba akaleta kijiko kichafu, na kipofu alipomaliza kukinusa akasema, "aaah... ndizi nyama, nipe."

Siku ya tatu; kipofu akaja tena na kuomba kijiko kichafu kama kawaida yake. Yule baba akaamua kumkomesha na hivyo akamfuata mkewe jikoni akasema "Rose kuna jamaa anajifanya anajua sana kunusa na leo nataka nimchezee akili yake, chukua hiki kijiko na kisugulishe ndani ya chupi yako".

Basi yule baba mhudumu akampelekea kile kijiko na yule kipofu kama kawaida yake, akakinusa na kusema, "aaah... nilikuwa sijajua kama Rose anafanya kazi hapa!"
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: