Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh. Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundo mbinu, Peter Serukamba.
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri.
Ofisa wa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya ndege ya Fast Jet Lucy Mbogoro akitoa maelezo kwa ujumbe kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na ujumbe wake wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Meneja Biashara wa FastJet, Jean Uku akitoa maelekezo kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe kuhusiana na utendaji kazi wa kampuni hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani pembeni ya Mwakyembe ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: