Mwishoni mwa wiki iliyopita wakazi wa Dar es Salaam walijumuika katika party ya kujipongeza kwa kuumaliza salama mwezi Oktoba iliyofanyika katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay.
Party hiyo inayodhaminiwa na bia ya Castle Lite kwa mara nyingine ilifana huku mamia ya waliohudhuria wakitoka wakiwa wameridhika na burudani waliyoipata. Hizi ni baadhi ya taswira toka katika Just Got Paid.
Toa Maoni Yako:
0 comments: