Bondia Thomasi Mashali kushoto akitia saini ya kupigana na Abbdallah Pazi kulia baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa friends Corner Manzese Dar es Salaam. |
Bondia Abbdallah Pazi kulia akitia saini ya kupigana na Thomasi Mashalikushoto baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa friends Corner, Manzese Dar es salaam.
Promota Kassim Texas katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Abdallah Pazi kuashilia makubaliano ya mpambano wao utakaofanyika january mosi katika ukumbi wa friends corner manzese, Dar.
Toa Maoni Yako:
0 comments: