Wanafunzi wa madarasa tofauti walioungana kuunga kundi la ngoma ili kuwaanga wenzao wa darasa la saba yaliyofanyika jijini Dar.
Wazazi waliohudhuria katika mahafali ya darasa la saba katika shule ya msingi Mwl. Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakiimba mbapo wimbo wao uliweza kufanya vyema.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bi. Grace Lyimo akiwa na mgeni rasmi wa mahafari hayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda walifuatilia burudani iliyokuwa ikitolewa.
Wahitimu.
Wanafunzi walikufuatilia.
Wanafunzi wakitoa darasa la masomo ambayo wamekuwa wakifundishwa.
Wazazi wakifuatilia hafla hiyo.
Wanafunzi wa shule ya awali wakitoa burudani.
Mgeni rasmi wa mahafari hayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda akitoa pongezi kwa mwanafunzi ambaye alisoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake. Pembeni ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bi. Grace Lyimo
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bi. Grace Lyimo akitoa mkono wa pongezi kwa kijana wake.
Burudani ya ngoma za asili.
Burudani ya muziki wa kisasa.
Wanafunzi wakipata maelekezo toka kwa kiongozi ambaye alikuwa akisimamia burudani.
Wahitimu wakiingia kuaga.
Wanafunzi wakiimba wimbo maalum kwa ajili ya kumkumbuka hayati mwalimu juliusi kambarage nyerere.
Walimu nao hawakuwa mstari wa nyuma kuwasindikiza vijana wao.

Walimu wakipata picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: