Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na muziki bomba.
Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea tovuti ya www.castlelite.co.tz kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab, T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE jioni hiyo.
Vinywaji vya kutosha.
Swaga...
Wadau wakikata kinywaji cha Castle Lite.
Show love.
Toa Maoni Yako:
0 comments: