Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 17, 2014 wakati akipanda ndege kuelekea mkoani Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika Uwanja huo wa ndege

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: