Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Jk4: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: