Mtoto Marlyn alikuwa nyumbani nyumbani na dada yake wakaenda gengeni wakakutana na mkaka akauliza mama Marlyn yupo,
Dada akajibu; hayupo baba hayupo.
Mkaka; Anarudi sangapi?
Dada; sijui.
Yule dada akarudi nyumbani na mtoto. Kufika nyumbani yupo mama mdogo wa mtoto. Yule kaka baada ya mda akaja tena anaomba kwenda chooni wakamuelekeza choo cha nje. Dada akaaga anaendaa kwa fundi kawaacha watoto wanacheza uani na wenzie na akijua mamdogo yupo. Ndio yule kaka katoka chooni kamuta Marlyn amnunulie ndizi akatoka nae watu wanamuona akawa anaelekea kama Kanisa la Assemblies, Changanyikeni watu wakamuona kachukua boda boda kapanda na mtoto ndio mpaka muda huu MTOTO HAJAONEKANA.

Kaka aliyemuiba kanyoa punk.
ATAKAE MUONA MNAOMBWA ATUUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE.
Toa Maoni Yako:
0 comments: