Moja ya utalii wa ndani katika nchi yetu ni kutembelea maeneo tofauti tofauti kama unavyojionea mwenyewe... Hapo nikiwa Mpakani mwa Mji wa Shinyanga na Mwanza kutokea Kahama.
Tukijaribu kupata ukodak mbele ya bango la mpaka wa Shinyanga na Mwanza. Pichani ni Michael Mukunza ambaye ni Programe Director wetu katika project tunayoifanya akiwekewa kumbukumbu ya Ukodak na mmiliki wa Blog hii... Cathbert Angelo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: