Bibi Harusi Mtarajiwa Renalda Ngowi akimpa zawadi ya saa mume wake mtarajiwa Bw. Kelvin wakati wa sherehe ya kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Cassa Complex Hall (Master Club), Mikocheni jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa anamsindikiza ni rafiki yake Vaileth Mafue.
Bibi Harusi Mtarajiwa Renalda na akiwa na mumewe mtarajiwa Bw. Kelvin.
Wageni waalikwa wakiserebuka wakati wa sherehe ya kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Cassa Complex Hall (Master Club), Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Bibi harusi mtarajiwa Renalda akiserebuka na akiwa rafiki yake Vaileth Mafue wakati wa sherehe ya kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Cassa Complex Hall (Master Club), Mikocheni jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa anamsindikiza ni rafiki yake .
Marafiki wakishow love...
Mama Alvin 'The Don' akiwa na bibi harusi mtarajiwa Renalda (katikati) pamoja na rafiki yake Vaileth wakiwa katika sura ya furah.
Baba akitoa zawadi.
Familia ikipata ukodak.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: