MCHUNGAJI PROSPER&DEBORAH NTEPA WANAWAKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NDOA!

ITAKAYOKUWA IKIONGONZWA NA MCHUNGAJI PETER MITIMINGI
MAHALI: KANISA LA THE OASIS OF HEALING MINISTRIES LILILOPO NYUMA YA UBUNGO PLAZA KARIBU NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
LINI:JUMAMOSI HII YA TAR 5/6/2014.
MUDA:SAA 8MCHANA HADI 12 JIONI.
WOTE MNAKARIBISHWA!!!.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: