1. Mwili wa marehemu George Tyson utapelekwa nyumbani kwake (Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam) kesho Jumanne Juni 3, 2014 jioni kuanzia saa kumi na mbili jioni kwa ajili ya kuaga.

2. Mwili utalala utalala nyumbani kwake Mbezi na kesho yake Jumatano  Juni 4, 2014 kupelekwa Viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuagwa kuanzia saa nne asubuhi.
3. Baada ya kuagwa mwili wa marehemu utapelekwa moja kwa moja Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Nairobi, Kenya ambapo unatarajiwa kuzikwa  Juni 5, 2014.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: