Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipita mbele ya jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakati wakiaga Kuga mwili katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo. Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo June 14, 2014 baada ya kukamiliza kwa mipango yote. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: